Mtandao wa Alibaba una magari ya bei nafuu sana, Sijajua ushuru wake kuyaingiza nchini

Hizo ni internet prices na sio market price
 
Tunataka wataalamu wa Kodi watueleze
Gari yeyote unayoiona kwenye web yeyote nje ya nchi, chukua details zake then nenda kwenye calculator ya TRA, details itakayo taka uwe nazo ni aina ya gari, model yake, engine size, aina ya mafuta, ni ya mwaka gani na inatoka nchi gani though hi ya nchi sio muhimu kiviile cause sometimes wao ni kama hua wanalazimisha, ukisema Toyoya calculator ya TRA inajua ni Japan while sometimes inaweza kua Ulaya au Malysia nk. Tumia hizo details then come back here for more questions
 
Hiyo link ni ipi niliwahi kumuomba mfanyakazi wa TRA niliambulia maswali kama wamemuona HAMZA
 
Hapana, wana category ya spare na used cars. Na kwenye upande wa spare hawaweki gari zima ni spare husika tu
Duuh...! Kama ni hivyo wako vizuri. Hata kodi ikiwa kubwa,kwa hiyo double kibin ya land cruiser ya milioni 9 hata kodi ikiwa milioni 20 sio mbaya
 
Duuh...! Kama ni hivyo wako vizuri. Hata kodi ikiwa kubwa,kwa hiyo double kibin ya land cruiser ya milioni 9 hata kodi ikiwa milioni 20 sio mbaya
Hiyo Land cruiser kodi ni 30m, bado usafirishaji
 
Bado iko vizuri. Hapo maana yake unajumlisha hiyo m.30 na ile m.9 sio ndio mkuu?. Labda na usafiri hivi
 
Kuishi kwenye hii nchi ni chuo tosha. Hakuna mahala unaweza ukashindwa kuishi
Magari ya umeme yakianza kuwa imported sijui watayachaji kwa Watts? maaana ya mafuta wanalala na Engine CC.
 
Kama nimekuelewa hivi.
 
Ni CCM mkuu..
 
Alibaba nunua chupi, bra, viatu, nguo, sox, handbangs, wigi, SMEs na electric and electronic equipments, ila cars, bikes, tractors, caterpillars, ships, airplanes, helicopters sio sehemu yake. Plz, labda ukute tangazo, alafu chukua link, ufuatilie kwa umakini, na usilipe hata sent ukitaka kununua hizo vitu, fanya sasa uende mwenyewe hata China, ni safari ya masaa 15 toka Dar via Dubai China, either Shanghai or Guangzhou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…