Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

Let itbe
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login

Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login

Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Let it be down forever 🤓
 
Siyo Facebook Tu, acheni kufunguwa link msizozijuwa na check settings zako tags zote mpaka uruhusu wewe kupublish kwenye wall yako.

Yani account zenu mmeziacha uchi Bila ulinzi wowote.

Sure ,tatizo wengi hawajui matumizi mazuri ya mitandao ,nawashangaa wanaolalamika kwamba kuna post za "mizagamuo" kwenye walls zao wakati kuna settings kabisa mtu hawezi kutags wall yako mpaka uapprove.
 
Dongo la Elon Musk kwa Mark Zuckerberg mmiliki wa Meta Platforms inayomiliki FB na IG

Screenshot_20240306-144144_X.jpg
 
Sure ,tatizo wengi hawajui matumizi mazuri ya mitandao ,nawashangaa wanaolalamika kwamba kuna post za "mizagamuo" kwenye walls zao wakati kuna settings kabisa mtu hawezi kutags wall yako mpaka uapprove.
Hao ndio pamoja na hawa mapimbi wanaojishauwa hapa na ukatikaji mauno eti wao hawawezi kutumia Facebook, fuseeeki kabisa.
 
Great thinker kama wewe unapata wapi ujasiri wa ku log in facebook?, unafanya hivyo ili upate nini cha kipekee huko. Sisi wengine tuliishasahau username na password za fb,huko hakuna kitu
Kina boss wa humu wapo,, NAE utamwambiaje mkuu?
 
Hey! I've been experiencing the same issue with Facebook. It's frustrating when these platforms go down unexpectedly, especially when we rely on them for connecting with others. Have you tried accessing it later? Sometimes these outages get resolved pretty quickly. While we wait, I've been exploring ways to boost my social media presence. Have you heard of GetLikes? They offer services for Instagram, TikTok, and YouTube growth. It's interesting to think about leveraging these platforms for visibility and engagement. If you're curious, you can check them out here: getlikes.com !
 
Back
Top Bottom