Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Benki ya masisiyemu hiyo, wamezuia miamala kwenda tonetoneHawa jamaa leo wamenoathiri vibaya kwa kukoso huduma katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down.
Nimepoteza hela na nimeoteza fursa.
Inakera sana!
Umekosa kuilamba mbususu uliyoifatilia miezHawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down.
Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa.
Inakera sana!
Mtu umekaa ndani zaidi ya masaa 3 unasubiri huduma hamna kinachoendelea mpaka wanafunga milango baadae unaona bora tu utoke huko ndani ukaendele.na shughuli zingine.Wanafanya mambo yao kienyeji mnoo,vibayavibaya na kwa uzembe unaopea viwango.Hakuna wanachojali kiwe customer service au customer care.Wapowapo tu.
Dah! Umenikumbusha mbaaaaaaali sana kipindi kile Meridian Biao Bank imefirisika! Enzi hakuna mitandao wala nini. Wana wa Mjini walikuwa wanavaa vizuri halafu wanaenda kusimama pale nje ya jengo la Meridian Biao Bank halafu wanasara sana. Ungewasikia;Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down.
Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa.
Inakera sana!