Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

Quora ni website ya maswali na majibu,, haina uelemeo wa dini yeyote ile
 
Naomba unijibu, dunia ilitokana na nini na uhai ulianzaje? Kisha nitarudi kwenye maswali yako.
 
Ninataka kujua ufahamu wako kwenye hayo maswali mawili.
Kwa nini? Maswali hayo yanahusiana vipi na hoja ya kuwapo kwa Mungu?

Nikikwambia uiandike kwa ukamilifu in decimal notation square root ya mbili na wewe utaweza?
 
Mkuu usijefikiria Quora ni kifupi cha Quran. Adam D’Angelo hakuwa na maana hiyo.
 
Kwa nini? Maswali hayo yanahusiana vipi na hoja ya kuwapo kwa Mungu?

Nikikwambia uiandike kwa ukamilifu in decimal notation square root ya mbili na wewe utaweza?
Majibu yangu yatapata kukamilika baada ya kuelewa ufahamu wako juu ya chanzo cha dunia na uhai kwa ujumla.
 
Majibu yangu yatapata kukamilika baada ya kuelewa ufahamu wako juu ya chanzo cha dunia na uhai kwa ujumla.
Nikisema sijui chanzo cha dunia na uhai, hilo linathibitisha Mungu yupo?

Mimi sijakuambia najua chanzo cha dunia na uhai.

Mimi nimekuambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
 
Wacha uongo. Wisilamu ulienezwa kwa upanga lakini ukiristo ulienezwa kwa Amani. Waeneza ukiristo walichichwa na kuchomwa moto na wale walioupinga lakini waeneza uisilamu walichicha na kuchoma moto waliowapinga. Hivyo toka kale za zamani sera za uisilamu ni ukatiri na ndiyo maana wanapewa ugaidi
 
Mimi unastahiki nikujibu hivi "SAWA.
 
Usijidanganye uhamiaji auhusiki mbona wapo waislam wengi wahamiaji wakifika ulaya wanabatizwa makundi tu ukitaka na video unapewa, nikuambie wazungu ni watu wenye misimamo sana usijidanganye, tafuta habari ya bbc swahili dira ya dunia ilikuwa mwaka jana mwezi wa kumi uone nchi nyingi ulaya zilikuwa zinapokea wakimbizi wakristo tu mfano ustria nk na habari ya bbc swahili dira ya dunia leo usiku kaiangalie wakimbiz wanarudishwa kwao wengine wanapelekwa rwanda kazi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…