Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
TMZ usifananishe na risasi mkuu hua wanaripoti facts na mara nyingi hua ni wakwanzaTmz mtandao wa umbea USA unategemea ukupe taarifa nyeti za Dunia kama hii.?
Yaani Risasi uifanye kama ndio gazeti lako la kupata taarifa za kisiasa.
Kituko
Wanakuwa wana rekodi hili kutulizaKim wiki ijayo atawasuprise kwa picha anaangalia jinsi wanatest makombora.
Mara nyingi wanakuwa washajiandaa chochote kikitokea mtu yupo wa kuongoza nchi kwa misingi hile hile ya familia.Duh! Huyu akipewa hiyo nchi ipo siku atakuja kuangusha nuclear kwenye nchi ya watu.
Don't give up[emoji123]
Tomorrow is the new day [emoji120]
Na dildo vile vile zinamuogopa?!Ametulia sio kama zamani mpaka Leo bado ana bikra yake
Sababu ya kuogopwa na njemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza kama Mimi,japo sio kwenye kushikana mikono.Kosa nikwenye kukutana na Trump na msafara wake.Huyu alifanya makosa Sana kushikana mkono na Trump..........
Mabeberu huwa hawafanyi makosa.......one mistake , one goal....
Utakuta kafanya maksudi au wamemtumaHuyo dokta aliomfanyia upasuaji lazima nayeye ajiandae kumfata dogo kiduku kama lisemwalo la kweli
Actually, Kiduku kwenye mikwara yuko vizuri.My be.
Ila me napenda vitimbi vyake tu kwa wananchi wake
Hii habari ilitakiwa uipeleke kule chitchat maana imekaa kimbea mbea na kidaku daku sana.Mtandao wa TMZ wa nchini marekani umeripoti kwamba kiongozi dikteta wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amefariki dunia au yuko kwenye hali mbaya ambayo ni ngumu sana kupona baada ya operesheni yake ya moyo kutofanyika vizuri.
Wiki hii China ilituma timu yake ya wataalam wa afya kwenda kusaidia katika kuokoa maisha ya kiongozi huyo, mpwa wa waziri wa mambo ya nje wa China aliandika katika mtandao wake wa Weibo wenye wafuasi takribani million 15 taarifa za dikteta huyo kupoteza maisha.
Ripoti zinaonesha kwamba mnamo mwanzoni mwa mwezi huu wa April wakati Raisi huyo akifanya ziara yake nje ya mji ilitokea akawa amejishika kifua na kuanguka huku wasijue sababu ni nini, Alitakiwa kupewa huduma ya haraka sana lakini ripoti zinaonesha kwamba alicheleweshwa au docta aliyekuwa anamfanyia operesheni alikua na woga....kupelekea hali yake kuzorota zaidi
words.Hata akifa sawa tu maana hakuna atakaeishi milele,ila Korea haitobadili misimamo yake kirahisi rahisi maana kila Kim mmoja akitoka anakuja Kim mwingine.
Ametulia sio kama zamani mpaka Leo bado ana bikra yake
Sababu ya kuogopwa na njemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli, soko la tumbaku litakuwa limepoteza mwana chama wake.