Mtandao wa TMZ Wadai: Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong Un Amefariki Dunia

Mtandao wa TMZ Wadai: Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong Un Amefariki Dunia

Status
Not open for further replies.
Kim wiki ijayo atawasuprise kwa picha anaangalia jinsi wanatest makombora.
Wanakuwa wana rekodi hili kutuliza
Duh! Huyu akipewa hiyo nchi ipo siku atakuja kuangusha nuclear kwenye nchi ya watu.


Don't give up[emoji123]

Tomorrow is the new day [emoji120]
Mara nyingi wanakuwa washajiandaa chochote kikitokea mtu yupo wa kuongoza nchi kwa misingi hile hile ya familia.
 
Nimewahi soma makala moja kuwa haachi kinyesi wala mkojo wake nchi au katika hotel yoyote anayokwenda huwa ana beba na kuondoka navyo,maana ana amini ni rahisi kujualikana ugonjwa anao umwa kutokana na hivyo.
 
Jamaa nasikia alisema ataekuja na corona risasi,na Kesha mnyoosha mmoja
 
Nasikia alisema ataeleta Corona anapiga risasi, na kesha mnyoosha mmoja
 
Mtandao wa TMZ wa nchini marekani umeripoti kwamba kiongozi dikteta wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amefariki dunia au yuko kwenye hali mbaya ambayo ni ngumu sana kupona baada ya operesheni yake ya moyo kutofanyika vizuri.

Wiki hii China ilituma timu yake ya wataalam wa afya kwenda kusaidia katika kuokoa maisha ya kiongozi huyo, mpwa wa waziri wa mambo ya nje wa China aliandika katika mtandao wake wa Weibo wenye wafuasi takribani million 15 taarifa za dikteta huyo kupoteza maisha.

Ripoti zinaonesha kwamba mnamo mwanzoni mwa mwezi huu wa April wakati Raisi huyo akifanya ziara yake nje ya mji ilitokea akawa amejishika kifua na kuanguka huku wasijue sababu ni nini, Alitakiwa kupewa huduma ya haraka sana lakini ripoti zinaonesha kwamba alicheleweshwa au docta aliyekuwa anamfanyia operesheni alikua na woga....kupelekea hali yake kuzorota zaidi
Hii habari ilitakiwa uipeleke kule chitchat maana imekaa kimbea mbea na kidaku daku sana.

Yani unatuletea habari za gazeti ya udaku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametulia sio kama zamani mpaka Leo bado ana bikra yake
Sababu ya kuogopwa na njemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2020-04-26-00-30-26-696_com.android.chrome-01.jpeg
 
Duh kiduku mtata kweli kweli I hope hii habari si kweli Dunia inamhitaji sana Kiduku ili kubalance power
 


North Korean leader Kim Jong-un dead at 36
 
Huyu jamaaaa ukifatilia toka wanapotoa taarifa kwamba anafanyiwa upasuaji mpka inafka point wanaitaji wataalam wa afya kutoka China na Chinese helth expecties wanaendaaa kuungana na Nk ousaaidia kupigania uhai wake taarifa za kifo chake it seem to be true tusubiri tu time will tell!
Screenshot_20200426-014625.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada wa Brother wetu Kim Jong un atakuwa mrithi ..



Ataendeleza pale Kim alipoishia... Pale jijini kwetu Pyongyang shughuli zinaendelea Kama kawaida.

. karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TMZ ni mtandao wa udaku huko US. Habari zake sio za kuamini sana.
 
1587858757131.png


KIM JONG-UN is reported to be dead according to a number of sources from the Far East but the Reuters news agency muddied the waters tonight reporting satellite pictures have revealed a special holiday train thought to belong to the North Korean dictator was spotted at a resort town this week.

Details remain very sketchy but a Washington-based North Korea monitoring project, 38 North, claimed the train was parked at the "leadership station" in Wonsan on April 21 and April 23 amid growing speculation over the alleged death of Kim Jong-un. They said the station is reserved for the use of the Kim family amid unverified reports from Japan and China that the North Korean dictator is dead following botched heart surgery.





By REBECCA PERRING
00:01, Sun, Apr 26, 2020 | UPDATED: 00:02, Sun, Apr 26, 2020
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom