Godman
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 423
- 650
Ndipo hapo hata Mimi nawashangaa kusema eti nina deni la nyuma 12000 ilihali mwezi wa tatu Mwaka huu iliwekwa 15,000 ndipo wakatoa tokeni, suala hili ni janga la Taifa, mbaya zaidi tunaowategemea kutusemea wamebaki kusifu tu kwa nyimbo na mapambio ya anaupiga mwingi!ikiwa na deni hawagawi mkuu.! Mm niliwahi kukaa miezi minne bila kuwa hewani, nilikuwa nadaiwa 42,000 lakini hawakugawa[emoji23]