KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Glenn

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
69,329
Reaction score
164,730
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;

1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine

2. Internet yenye kasi zaidi

3. Vocha zao zipo kila mahali.

...........
Hata hivyo siku za karibuni mtandao huu umekuwa ukipotea hewani karibu kila wiki mara 2 au zaidi.

Muda huu ninaoandika hakuna mtandao wa voda kwa upande wa internet pamoja na kununua vifurushi.

Hii inaudhi sana kwani kukosa au kushindwa kununua vifurushi hukwamidha kazi za kimtandao.

Katika dunia hii inayotegemea kazi kwa kutumia mtandao, kukosekana kwa mawasiliano au huduma ya vifurushi hukwaza watu kufanyakaxi.

Nitoe rai kwa wahusika kujitakari kuhusu utoaji wa huduma zao.

Note; hii tabia ya kuja kufidia vifurushi vya masaa 24 baada ya huduma kurejea ni upuizi mtupu.

Kwa walaji/watumiajia wa vodacom nawashauri kuchukua tahadhari eidha kuuhama mtandao au kuwa na miyltandao mingine kukwepa kukwama endapo voda itapotea.

Jambo la mwisho; vodacom ndio mtandao wa wezi hasa kwa kutumia mikopo yao ya songesha na nipige tafu.

Ukikopa dakika hii na baada ya dakika moja ukiweka salio au kuweka mpesa unakatwa rejesho na riba kubwa.

#ikimbievoda#

Pia soma > Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo
 
Screenshot_20241023_002843_WhatsApp.jpg
 
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;

1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine

2. Internet yenye kasi zaidi
3. Vocha zao zipo kila mahali.

...........
Hata hivyo siku za karibuni mtandao huu umekuwa ukipotea hewani karibu kila wiki mara 2 au zaidi.

Muda huu ninaoandika hakuna mtandao wa voda kwa upande wa internet pamoja na kununua vifurushi.

Hii inaudhi sana kwani kukosa au kushindwa kununua vifurushi hukwamidha kazi za kimtandao.

Katika dunia hii inayotegemea kazi kwa kutumia mtandao, kukosekana kwa mawasiliano au huduma ya vifurushi hukwaza watu kufanyakaxi.

Nitoe rai kwa wahusika kujitakari kuhusu utoaji wa huduma zao.

Note; hii tabia ya kuja kufidia vifurushi vya masaa 24 baada ya huduma kurejea ni upuizi mtupu.

Kwa walaji/watumiajia wa vodacom nawashauri kuchukua tahadhari eidha kuuhama mtandao au kuwa na miyltandao mingine kukwepa kukwama endapo voda itapotea.

Jambo la mwisho; vodacom ndio mtandao wa wezi hasa kwa kutumia mikopo yao ya songesha na nipige tafu.

Ukikopa dakika hii na baada ya dakika moja ukiweka salio au kuweka mpesa unakatwa rejesho na riba kubwa.

#ikimbievoda#
Pole sana mtaalam,
 
Mie nilisha wakimbia kitambo...
Line yao natumia kupokelea sim na kusomea sms zinazo ingia tu... bladi hell
Bado hujawakimbia hawakimbiliki hakuna km Vodacom ukitaka kuamini ingia bush huko ndani ndani uswekeni huko soma mnara tafuta mpesa hukosi lipa namba ya Vodacom huko bush ndani hukuti lipa namba ya mtandao mwingine wowote zaidi ya Vodacom ni balaaaaaa
 
Back
Top Bottom