EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Unadhalilika aisee pole sana.Aisee nilienda kula hitelini mahali..
Mpesa imegoma...na lipa ikanigomea zote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhalilika aisee pole sana.Aisee nilienda kula hitelini mahali..
Mpesa imegoma...na lipa ikanigomea zote...
😅😅😅Fambaf hahaha🤣
Sijambo. Nina njaaMchumba hujambo?
Ok babeTuma namba haraka
Naona hata telegram ni kama wameifungia, hawa wanatumika sana kisiasa!Nimejifunza, siwezi tena kuitegemea voda
Nilikuwa mteja mtiifu wa Voda nikiamini tu changamoto hizi zitaisha lakini ikawa ni shida tu na hasa internet nyumbani mwisho wa siku ikabidi nifanye maamuzi magumu kuhamia Tigo kwenye Interent na ukweli sijutii uamuzi wangu huduma nzuri. Sijui nini kimetokea Voda siku za karibuni kama miezi miwili hivi na customer care ni zero.Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;
1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine
2. Internet yenye kasi zaidi
3. Vocha zao zipo kila mahali.
...........
Hata hivyo siku za karibuni mtandao huu umekuwa ukipotea hewani karibu kila wiki mara 2 au zaidi.
Muda huu ninaoandika hakuna mtandao wa voda kwa upande wa internet pamoja na kununua vifurushi.
Hii inaudhi sana kwani kukosa au kushindwa kununua vifurushi hukwamidha kazi za kimtandao.
Katika dunia hii inayotegemea kazi kwa kutumia mtandao, kukosekana kwa mawasiliano au huduma ya vifurushi hukwaza watu kufanyakaxi.
Nitoe rai kwa wahusika kujitakari kuhusu utoaji wa huduma zao.
Note; hii tabia ya kuja kufidia vifurushi vya masaa 24 baada ya huduma kurejea ni upuizi mtupu.
Kwa walaji/watumiajia wa vodacom nawashauri kuchukua tahadhari eidha kuuhama mtandao au kuwa na miyltandao mingine kukwepa kukwama endapo voda itapotea.
Jambo la mwisho; vodacom ndio mtandao wa wezi hasa kwa kutumia mikopo yao ya songesha na nipige tafu.
Ukikopa dakika hii na baada ya dakika moja ukiweka salio au kuweka mpesa unakatwa rejesho na riba kubwa.
#ikimbievoda#
Pia soma > Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo