KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Me mwenyewe nimenunua GB 1.4 nikataka nidownload movie nashangaa holaaa, nimehamia halotel
Mkuu pamoja na hayo yanayoongelewa, angalia na setting ya simu pia. Ingia hapo kwenye Setting> SIM and network setting>intelligent network optimization>mobile data always on line, ukifika hapo ui off, hiyo 'mobile data always on line' ikiwa on inasaga na kukoboa vibaya sana kuliko hata mchwa.
 
Nimegundua wateja wengi wakipata changamoto ya kimtandao na mara unaporejea wanahitaji kuombwa radhi.
Haya,..... tunaomba radhi ndugu wateja wetu kutokana na changamoto ya kimtandao iliyodumu kwa lisaa limoja usiku wa siku ya jana.
Endeleeni kufurahia huduma zetu mbalimbali kutoka mtandao wetu.

VODACOM....."power to you"
 
Hakuna mwenye nafuu, mitandao yote kuna nyakati ina shida tu. Muhimu ni kuwa na line mbili, angalau moja ikizingua una~switch kwa nyingine.
Ndio uvae miwani ya gaza sasa?🤣🤣
 
Hakuna mwenye nafuu, mitandao yote kuna nyakati ina shida tu. Muhimu ni kuwa na line mbili, angalau moja ikizingua una~switch kwa nyingine.
Ndio uvae miwani ya gaza sasa?🤣🤣
 
Back
Top Bottom