KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hamia tiGO.

Japo inauma sana mwanzoni hasa ukianza na vifurushi vikubwa

Lakini ukishazoea vifurushi vya size yako basi inakuwa tamu sana

Na inaruhusu hata speed ya 4g kama utakuwa na kifaa kinachoruhusu speed hiyo.

TiGO ni tamu sana ukijua style zake kulingana na kifurushi unachotaka
 
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;

1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine

2. Internet yenye kasi zaidi

3. Vocha zao zipo kila mahali.

...........
Hata hivyo siku za karibuni mtandao huu umekuwa ukipotea hewani karibu kila wiki mara 2 au zaidi.

Muda huu ninaoandika hakuna mtandao wa voda kwa upande wa internet pamoja na kununua vifurushi.

Hii inaudhi sana kwani kukosa au kushindwa kununua vifurushi hukwamidha kazi za kimtandao.

Katika dunia hii inayotegemea kazi kwa kutumia mtandao, kukosekana kwa mawasiliano au huduma ya vifurushi hukwaza watu kufanyakaxi.

Nitoe rai kwa wahusika kujitakari kuhusu utoaji wa huduma zao.

Note; hii tabia ya kuja kufidia vifurushi vya masaa 24 baada ya huduma kurejea ni upuizi mtupu.

Kwa walaji/watumiajia wa vodacom nawashauri kuchukua tahadhari eidha kuuhama mtandao au kuwa na miyltandao mingine kukwepa kukwama endapo voda itapotea.

Jambo la mwisho; vodacom ndio mtandao wa wezi hasa kwa kutumia mikopo yao ya songesha na nipige tafu.

Ukikopa dakika hii na baada ya dakika moja ukiweka salio au kuweka mpesa unakatwa rejesho na riba kubwa.

#ikimbievoda#
Jana usiku kidogo nilale nje simu zilikua hazitoki.
 
Voda ovyo kabisa,m line yangu napewa lawama sipokei ilihali cm wakipga kwangu haiiti ila kwa wapigaji inaonesha inaita,,ila nikiwapigia mm safi,na sio swala la setting.
 
Vodacom ndio mwisho wake unakuja hivyo, kwanza mtandao unakula sana MB, Hata M-pesa nishaacha kutumia naona Airtel anakuja kwa speed sana analudi enzi zake.
 
Bora vodakom mkuu Airtel ndio hawafai kabisa unaweza kumpigia simu mtu ambeye uko na karibu wanakwambia mtumiaji wa simu unaempigia hapatikan sasa nenda kwenye 4g Yao ni shida kupita maelezo mtandao kidogo unaojitaidi kwa sasa ni halotel
 
mtandao kidogo unaojitaidi kwa sasa ni halotel
Hawa jioni kuelekea usiku mtandao unabumba sana ila ndio wamekuwa kimbilio la wengi sababu mtandao umetulia ingawa nao sio kwa asilimia zote, hawana bonus km hujawapa hela km walivyo Vodacom, Vodacom unaweza usiwe na hela ya salio wakakutunuku bonus ya dakika na sms au MB upige mbanga zako za hapa na pale hio Halotel haipo toa hela upewe bonus na sometimes wanaweza wasikupe hata hio bonus wenyewe wanaita +zawadi
 
Hakuna mwenye nafuu, mitandao yote kuna nyakati ina shida tu. Muhimu ni kuwa na line mbili, angalau moja ikizingua una~switch kwa nyingine.
 
Back
Top Bottom