KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;

1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine

2. Internet yenye kasi zaidi

3. Vocha zao zipo kila mahali.

...........
Hata hivyo siku za karibuni mtandao huu umekuwa ukipotea hewani karibu kila wiki mara 2 au zaidi.

Muda huu ninaoandika hakuna mtandao wa voda kwa upande wa internet pamoja na kununua vifurushi.

Hii inaudhi sana kwani kukosa au kushindwa kununua vifurushi hukwamidha kazi za kimtandao.

Katika dunia hii inayotegemea kazi kwa kutumia mtandao, kukosekana kwa mawasiliano au huduma ya vifurushi hukwaza watu kufanyakaxi.

Nitoe rai kwa wahusika kujitakari kuhusu utoaji wa huduma zao.

Note; hii tabia ya kuja kufidia vifurushi vya masaa 24 baada ya huduma kurejea ni upuizi mtupu.

Kwa walaji/watumiajia wa vodacom nawashauri kuchukua tahadhari eidha kuuhama mtandao au kuwa na miyltandao mingine kukwepa kukwama endapo voda itapotea.

Jambo la mwisho; vodacom ndio mtandao wa wezi hasa kwa kutumia mikopo yao ya songesha na nipige tafu.

Ukikopa dakika hii na baada ya dakika moja ukiweka salio au kuweka mpesa unakatwa rejesho na riba kubwa.

#ikimbievoda#
Tuachenii na Voda yetu.

Ni Sawa Sawa mwanaume akiishi na mwanamke Malaya afu akampenda Yani mtaongea lakini haachiki mtu hapa.

Voda naipenda Sana japo kuwa inanikeraga lakini najiona mtu wa pekee Sana kutumia mtandao wa Vodacom Tanzania 🇹🇿
 
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;

1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine

2. Internet yenye kasi zaidi

3. Vocha zao zipo kila mahali.

...........
Hata hivyo siku za karibuni mtandao huu umekuwa ukipotea hewani karibu kila wiki mara 2 au zaidi.

Muda huu ninaoandika hakuna mtandao wa voda kwa upande wa internet pamoja na kununua vifurushi.

Hii inaudhi sana kwani kukosa au kushindwa kununua vifurushi hukwamidha kazi za kimtandao.

Katika dunia hii inayotegemea kazi kwa kutumia mtandao, kukosekana kwa mawasiliano au huduma ya vifurushi hukwaza watu kufanyakaxi.

Nitoe rai kwa wahusika kujitakari kuhusu utoaji wa huduma zao.

Note; hii tabia ya kuja kufidia vifurushi vya masaa 24 baada ya huduma kurejea ni upuizi mtupu.

Kwa walaji/watumiajia wa vodacom nawashauri kuchukua tahadhari eidha kuuhama mtandao au kuwa na miyltandao mingine kukwepa kukwama endapo voda itapotea.

Jambo la mwisho; vodacom ndio mtandao wa wezi hasa kwa kutumia mikopo yao ya songesha na nipige tafu.

Ukikopa dakika hii na baada ya dakika moja ukiweka salio au kuweka mpesa unakatwa rejesho na riba kubwa.

#ikimbievoda#
Suluhisho ni kuwahama tu.
 
Nimegundua wateja wengi wakipata changamoto ya kimtandao na mara unaporejea wanahitaji kuombwa radhi.
Haya,..... tunaomba radhi ndugu wateja wetu kutokana na changamoto ya kimtandao iliyodumu kwa lisaa limoja usiku wa siku ya jana.
Endeleeni kufurahia huduma zetu mbalimbali kutoka mtandao wetu.

VODACOM....."power to you"
Fambaf hahaha🤣
 
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;

1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine

2. Internet yenye kasi zaidi

3. Vocha zao zipo kila mahali.

...........
Hata hivyo siku za karibuni mtandao huu umekuwa ukipotea hewani karibu kila wiki mara 2 au zaidi.

Muda huu ninaoandika hakuna mtandao wa voda kwa upande wa internet pamoja na kununua vifurushi.

Hii inaudhi sana kwani kukosa au kushindwa kununua vifurushi hukwamidha kazi za kimtandao.

Katika dunia hii inayotegemea kazi kwa kutumia mtandao, kukosekana kwa mawasiliano au huduma ya vifurushi hukwaza watu kufanyakaxi.

Nitoe rai kwa wahusika kujitakari kuhusu utoaji wa huduma zao.

Note; hii tabia ya kuja kufidia vifurushi vya masaa 24 baada ya huduma kurejea ni upuizi mtupu.

Kwa walaji/watumiajia wa vodacom nawashauri kuchukua tahadhari eidha kuuhama mtandao au kuwa na miyltandao mingine kukwepa kukwama endapo voda itapotea.

Jambo la mwisho; vodacom ndio mtandao wa wezi hasa kwa kutumia mikopo yao ya songesha na nipige tafu.

Ukikopa dakika hii na baada ya dakika moja ukiweka salio au kuweka mpesa unakatwa rejesho na riba kubwa.

#ikimbievoda#

Pia soma > Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo
Jumamosi ilikua halotel kwenye miamala leo tigo
 
Vida sasa amezidi kwa ubovu. Hata muda huu huwezi kupokea wala kutoa pesa
Natumia voda na airtel, mmoja akizingua mwingine anafanya. Hizi line ni kama kuwa na wanawake tu, mmoja hawezi kukidhi mahitaji. Tuishi hivyo mkuu😅
 
Najuta kutumia Mpesa jana na leo.Usijaribu kabisa kulipa bill au kutuma pesa.Tumia line nyingine tu.
 
Aisee nilienda kula hitelini mahali..
Mpesa imegoma...na lipa ikanigomea zote...
 
Back
Top Bottom