KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nilikuwa mteja mtiifu wa Voda nikiamini tu changamoto hizi zitaisha lakini ikawa ni shida tu na hasa internet nyumbani mwisho wa siku ikabidi nifanye maamuzi magumu kuhamia Tigo kwenye Interent na ukweli sijutii uamuzi wangu huduma nzuri. Sijui nini kimetokea Voda siku za karibuni kama miezi miwili hivi na customer care ni zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…