Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Hadi mimi voda mida hii shida tupuWakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Nilidhani kwangu tu, naona bado unakuja na kukataWakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Nipo Dodoma pia unasumbua!Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
urudi na nguniani na mcheleNi kweli Mimi nipo Njiani nasafiri Nikiwa Iringa ruaha niliona Hilo nikahisi labda mtandao usasumbua Kwa Maeneo hayo, Njiani nzima Mpaka nafika hapa Mbeya ni hivyo hivyo, mpk nikahisi labda simu ndiyo yenye shida
kwisha habari yakoNimepata shida nataka kutoa hata pesa kidogo mtandao haupo