Mtandao wa vodacom una shida au

Mtandao wa vodacom una shida au

Tanzania Nzima Vodacom/Tigo Inasuasua
Hapa Kilimanjaro Nimehaha Kutoa Line Wapi
 
Hata mimi yapata saa 2 hivi zimepita line ipo off, haifanyi kazi hata kidogo.
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
 
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Dah,
Mtoa mada kuna simu umeokoa hapa, maana nilikuwa naanza kuitilia mashaka kumbe tatizo ni voda.

Halafu Voda hawatoi taarifa yoyote!!!
 
Mimi ni mwekezaji, nimewekeza Italy, Uingereza, Ujerumani nk. Sasa jioni hii biashara za Uingereza zilikwenda sivyo.
Ikabidi nideposit tena ili kuvizia soko la hisa, nacheki mtandao patupu.
Ila nimekuja kugundua kwa app miamala inafanyika kama kawaida.
 
Ni kweli Mimi nipo Njiani nasafiri Nikiwa Iringa ruaha niliona Hilo nikahisi labda mtandao usasumbua Kwa Maeneo hayo, Njiani nzima Mpaka nafika hapa Mbeya ni hivyo hivyo, mpk nikahisi labda simu ndiyo yenye shida
Nipo Tanga huko Pangani na kwenyewe ilikua hivyo
 
Back
Top Bottom