Mtandao wa vodacom una shida au

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,097
Reaction score
5,348
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
 
Ni kweli Mimi nipo Njiani nasafiri Nikiwa Iringa ruaha niliona Hilo nikahisi labda mtandao usasumbua Kwa Maeneo hayo, Njiani nzima Mpaka nafika hapa Mbeya ni hivyo hivyo, mpk nikahisi labda simu ndiyo yenye shida
 
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.

Yeah Vodacom inasumbua ,hata tigo na yenyewe jau ,kuanzia 1900 mpaka 2100 huwa kunakuwa na shida sana kwenye network ,huu muda ni busy hour.
 
Ni kweli kwangu naandikiwa not registered on this network nikijaribu kupiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…