Mtandao wa vodacom una shida au

Mtandao wa vodacom una shida au

Shida sio m-pesa app issue ni mtandao.. what if natoa kupitia m-pesa app je wakala ataona?
Wakala haoni. Nimetoka kutoa pesa hapa.. nadhani ni kwa heshima yangu America vinginevyo angekua mwingine wasingeelewana.
 
Hawa voda wakirudi hewani waturudishie bando na fidia .

Nimehangaika mno nikijua shida ni simu au kitu gani, simu hazitoki wala kuingia, internet uko chini mno na kuna muda inakata kabisa.

Mbaya zaidi hamna taarifa yoyote.
 
Ni kweli
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
 
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Voda hakuna mtandao tigo wanagawa mawasiliano yako kwa wauaji
 
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Nkajua ni kijijin kwetu tu
 
Nikajua ni huku bush kumbe tz yote, kwanza kesho mwendo halotel tu
 
Simu na jumbe hazitoki wala kuingia, lakini upande wa Internet inafanya kazi vizuri tu
 
Watakuja kukupa vi mb 100 vya usumbufu nakati mtu umepoteza mamilioni
 
Wamepigwa na kitu kizito

Ile cable yao imekutana na kombora la IDF
 
Back
Top Bottom