BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Ishazua taharuki watu wanashindwa kuwasiliana binafsi nimeshindwa kutoa pesa.. kimsingi ni usumbufu na kusababiashana lossnafikiri huwenda ikazua taharuki isiyo na lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishazua taharuki watu wanashindwa kuwasiliana binafsi nimeshindwa kutoa pesa.. kimsingi ni usumbufu na kusababiashana lossnafikiri huwenda ikazua taharuki isiyo na lazima
Kwamba vpn itakuwezesha kupiga simu??Mna VPN?
Ya millions of moneySio kudhalilisha wamesababisha hasara kwa wateja wao.
wengine wako bar wanatakiwa kulipa kwa lipa namba na cash hawana nimeshuhudia ugomvi mkubwa hapa muda huuIshazua taharuki watu wanashindwa kuwasiliana binafsi nimeshindwa kutoa pesa.. kimsingi ni usumbufu na kusababiashana loss
Umeona Mzee mi nimeaga home naenda kununua mboga mpaka saa hivi nasubiria m-pesa ianze kufanya kazwengine wako bar wanatakiwa kulipa kwa lipa namba na cash hawana nimeshuhudia ugomvi mkubwa hapa muda huu
Cash muhimu,lipa namba Ina kuaibisha kama network haipo 😀😀wengine wako bar wanatakiwa kulipa kwa lipa namba na cash hawana nimeshuhudia ugomvi mkubwa hapa muda huu
Nami pia...Yakwangu Iko very owkey!View attachment 3109720
Vodacom haipo hewani hapa nilipo.Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Utaacha simuMtandao umekata kabisaaaaa,..imagine ndo upo bar unategemea ulipe kwa lipa namba...hapo ndo utajua ujui
Changomoto ipo upande wa kupiga na ujumbe mfupiNami pia...
Naona wengi wanalalamika...Ila mimi kwangu sijapata hiyo Changamoto.
Mimi vyote napata..Changomoto ipo upande wa kupiga na ujumbe mfupi
Dawa ni kukutana mahakamaniWakirud utasikia Voda imekupa dk 5 za kupiga cm Voda kwenda voda
Nakutumia namba yangu nipigie tuone..Mimi vyote napata..