Wakala haoni. Nimetoka kutoa pesa hapa.. nadhani ni kwa heshima yangu America vinginevyo angekua mwingine wasingeelewana.Shida sio m-pesa app issue ni mtandao.. what if natoa kupitia m-pesa app je wakala ataona?
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Kampuni tofauti malizia,voda wamwzingua tumeamia airtelLeo ndio nimeona umuhimu wa kuwa na laini zaidi ya moja
Voda hakuna mtandao tigo wanagawa mawasiliano yako kwa wauajiWakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.

Wakurudishie bando upya!Hata Mimi kitu kinasoma no service na Kuna bandi langu linaisha saa 6 daah na kunaishu natakiwa nifanyeView attachment 3109711
Nkajua ni kijijin kwetu tuWakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Imebidi nisajili HalotelKampuni tofauti malizia,voda wamwzingua tumeamia airtel
Same here..Lately ata net imekua ina sumbua hadi niweke 3g ndo ina fanya kazi juu ya hapo asee mbala una fifia