Mtandao wa Whatsapp umeripotiwa kushindwa kufanya kazi kwa baadhi ya watumiaji leo Oktoba 25 kuanzia Majira ya Saa 4 Asubuhi
Ingawa hadi sasa hakuna jibu rasmi au uthibitisho kutoka kwa WhatsApp Watumiaji kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania wameripoti kwamba hawawezi kutuma au kupokea ujumbe kwenye Mtandao huo isipokuwa kwa wanaotumia WhatsApp kwenye kompyuta.
India ina watu bilioni 1.3 kuelekea point 4 na wana sikukuu yao ya Diwali. Na bado jana Rishi Sunak Mhindi kawa Waziri Mkuu wa Uingereza. Ilitarajiwa leo WhatsApp itakuwa chini, wazoefu wa internet traffic walisema nami kuna sehemu nilisoma jana