Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Serikali ipo kwenye msako wa kuwatafuta ma admin wa groups za Kalyinda whatsup [emoji1][emoji1787]Watumiaji wengi wa mtandao wa WhatsApp wameripoti kushindwa kutuma wala kupokea ujumbe wowote asubuhi hii.
View attachment 2397216
Kwa mujibu wa Downdetector, zaidi ya watu 12000 wameripoti uwepo wa tatizo hili hadi kufikia mida ya saa 4:30 asubuhi.
Hata hivyo, hakuna taarifa yoyote rasmi iliyotolewa na Kampuni ya Meta yenye kuthibitisha au kukanusha kuhusu uwepo wa changamoto hii.
Kwako hali ipoje?