Mtandao wa WhatsApp haupatikani hewani kwa muda

Mtandao wa WhatsApp haupatikani hewani kwa muda

Mm ambae sina wakunitext huko wasap hatasijaona tofauti coz it always blank paged WhatsApp
 
Iphone na android os wapi na wapi?

#MaendeleoHayanaChama
Soma vizuri uelewe hii ndio shida ya wa Tz kujibu kabla ya kuelewa nimesema I phone 6 kwenda chini system yake kwa maana huwezi ku upgrade iOS hazitafanya kazi na Androis system 4 kwenda juu tu
 
Iphone na android os wapi na wapi?

#MaendeleoHayanaChama
WhatsApp will stop supporting this version of iOS after 24 Oct 2022.” It then advises: “Please go to Settings > General, then tap Software ...
 
Nyie Tu na simu zenu za popoma.........mjifunze kutumia vifaa brand
 
Kwa hiyo Rish Sunak kaleta mafuriko ya wahindi kwenye wasap, bila shaka wahindi wataenda kujazana uingereza maana sasa wanatawala nchi mbili.
Tatizo kawa PM jioni siku hiyohiyo ya Diwali. Mchango wake mdogo ila umeongezeka kwenye sikukuu ambapo internet traffic ilitarajiwa iwe kubwa vilevile. According to mtaalamu huyo hapo jana alitabiri hivyo na nimeona imekuwa
 
unatumia simu gani mleta mada au unatumia redio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mbona huku kwetu hamna kinachozingua
 
Kwa sisi tunaotegemea Whatsapp kwa kujipatia kipato, biashara zimesimama kwa muda.
hata zingeendelea ungeingiza bei gani labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitafte sababu mitandao ipo kibao
 
Back
Top Bottom