Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Serikali ipo kwenye msako wa kuwatafuta ma admin wa groups za Kalyinda whatsup [emoji1][emoji1787]Watumiaji wengi wa mtandao wa WhatsApp wameripoti kushindwa kutuma wala kupokea ujumbe wowote asubuhi hii.
View attachment 2397216
Kwa mujibu wa Downdetector, zaidi ya watu 12000 wameripoti uwepo wa tatizo hili hadi kufikia mida ya saa 4:30 asubuhi.
Hata hivyo, hakuna taarifa yoyote rasmi iliyotolewa na Kampuni ya Meta yenye kuthibitisha au kukanusha kuhusu uwepo wa changamoto hii.
Kwako hali ipoje?
Acha kuzinguaKwa mujibu wa habari niliyopata hasa I phone kuanzia 6 kwenda chini system zake hazi support tena na Android kuanzia 4 sijui kwenda mbele ndio zina support kwa maana hiyo watu wa update software kama simu yako haikubali basi kazi kununua simu nyingine. Maisha magumu na hawa kutaka kuuza simu zao wanaongeza ugumu.
Haha tumia smsNlijua nmeishiwa mbs.. kumbe kuna shida..
Itakuaje sasa kwa sie tunaotegemea kwenye shughuli zetu[emoji2296][emoji2296]
Na hii ni mara ya tatu Whatsapp ina crashHili tatizo lipo nchi nyingi sana kwa muda huu ila hakuna maelezo yeyote yaliyotolewa na Meta.
Nchi nyingi Mkuu sio Tz tu, nipo out of Africa ila WhatsApp ipo down.Wakuu hii WhatsApp kutofanya kaz ni Tanzania nzima au mm tu
Telegram ni full package kila huduma ipo noma sanaWajanja tupo na telegram, Tumia telegram acha na Facebook
Iphone na android os wapi na wapi?Kwa mujibu wa habari niliyopata hasa I phone kuanzia 6 kwenda chini system zake hazi support tena na Android kuanzia 4 sijui kwenda mbele ndio zina support kwa maana hiyo watu wa update software kama simu yako haikubali basi kazi kununua simu nyingine. Maisha magumu na hawa kutaka kuuza simu zao wanaongeza ugumu.
WhyyyyyKwa mujibu wa habari niliyopata hasa I phone kuanzia 6 kwenda chini system zake hazi support tena na Android kuanzia 4 sijui kwenda mbele ndio zina support kwa maana hiyo watu wa update software kama simu yako haikubali basi kazi kununua simu nyingine. Maisha magumu na hawa kutaka kuuza simu zao wanaongeza ugumu.
Haifai mpenzi..Haha tumia sms