Angalau moyo umepoa 🤣🤣🤣X Iko down Dunia nzima kuwa mvumilivu itakaa sawa
Dunia nzima kuna tatizo kwenye kitu kinaitwa cloudflareNi kote... hata nje ya Tz
😃😀😀Angalau moyo umepoa 🤣🤣🤣
Kumbe ni dunia nzima? nikàjua wanyonya damu wa bongo wemefanikiwa kuifunga.X Iko down Dunia nzima kuwa mvumilivu itakaa sawa
Nimebadili VPN lakini hakuna kitu.
Imesharudinipo kenya haifany kaz pia
Huduma imerudiNipo Morroco naona pia siipati, itakuwa ni shida ya kote.
NB: Nipo Morroco ya hapa magomeni
na vpn au 😉😉😉Nipo Morroco naona pia siipati, itakuwa ni shida ya kote.
NB: Nipo Morroco ya hapa magomeni
Ni kweli! ChatGPT nae yuko down!Nimebadili VPN lakini hakuna kitu.
Na vpn, imesharudina vpn au 😉😉😉