AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ita IT upewe assist unapenyaNimebadili VPN lakini hakuna kitu.
Ita IT upewe assist unapenyaNimebadili VPN lakini hakuna kitu.
Hahaha....Nipo Morroco naona pia siipati, itakuwa ni shida ya kote.
NB: Nipo Morroco ya hapa magomeni
Mzee wa VPNX Iko down Dunia nzima kuwa mvumilivu itakaa sawa
Mambo vipi ankoMzee wa VPN
Masta Elon kashafixi jamaa mtu wa maana Sana naa x isharudi online 😎😎Ipo hewani
Anko achana na VPN mambo yote operaminMambo vipi anko
Mimi huwa nalipia ankoAnko achana na VPN mambo yote operamin
Imeshakaa sawa, Cloudflare ilikuwa down.
View: https://x.com/FearedBuck/status/1990760267308028214?t=nEOPDrAIJjr0f8UyXxu2AQ&s=19
Exactly 💯Pia watu wengi wanatumia 1.1.1.1 app, kama vpn, lakini kazi yake kuu ni kuongeza speed ya internet kupitia Cloudflare lakini haifichi location yako kama VPN nyingine.
Mimi niko kuzimu, huku X pia inazingua... Huyu mama Samia ameanza kutufanyia figusu hata sisi ambao hatupo duniani..Mimi niko nje ya Tanzania ila na huku haufanyi kazi.
Kuna muda kwenye saa 4 hivi mitandao ilikuwa hazifanyi kazi. Hata ukipiga simu hazitoki. Gwajima aliwaambia ni ngumu kutawala nchi iliyogawanyika vipande vipande ,hawakumsikilizaNimebadili VPN lakini hakuna kitu.
Hadi Mimi walahi 😎 😍Nimeona mkuu shukrani sana… ila aisee nahitaji rehab niko so addicted na jf na x 🤣