Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 3,248
- 6,146
Ndio ile umeme unazima kwako ukichungulia kwa jirani ukakukuta umezima unafurahiašAngalau moyo umepoa š¤£š¤£š¤£
Ndio ile umeme unazima kwako ukichungulia kwa jirani ukakukuta umezima unafurahiašAngalau moyo umepoa š¤£š¤£š¤£
Ndiyo maana hata Radio Garden ilipiga Chini ikaonyesha Clodflare ipo Down.Dunia nzima kuna tatizo kwenye kitu kinaitwa cloudflare