Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202

Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025​

fuatilia youtube......
 
Homeless wa marekani ni wahamiaji kutoka Afrika ambao hujikuta hawana pa kuishi.Watanganyika tupambane tuwatoe WAHUNI aliokuwa anawasema mzalendo hamphrey polepole.
 
Sasa hapo umemfariji mtanganyika kwa kumlinganisha na mateja? Au mwenzetu hujui maana ya fentanyl?
 
So what...
Bloodhell....
Hivi kumbe umaskini ni kitu ya kujivunia skuizi...!!
 
Back
Top Bottom