Mtangazaji aliyeongoza Mapokezi ya Mbowe mkoani Kilimanjaro ni nani?

Mtangazaji aliyeongoza Mapokezi ya Mbowe mkoani Kilimanjaro ni nani?

kwa sasa sifaham waliko but kuna bwana aliwahi niambia waliwahi onekana TBC but mm maisha yangu si angaliagi hiyo Chanel . so sina hakika .

But to be honest kwa ule mziki wa kampeni za 2015 , kama ile amsha amsha ingepigwa 2020 na uhakika Jiwe lingefia jukwaani.
Hata zile zilizopigwa hazikumwacha mtu salama.
 
  • Thanks
Reactions: F9T
Hahaha kwamba zilienda na mtu.

Alipiga kampeni kiujanja ujanja . Gari ya mkaa.

Trip pori, trip garage.
 
Ni kweli alikuwa Spenser Lameki lakini aliyevuma zaidi ni Sam Mahela
Spencer alikuwa very very brilliant, na alivutia sana kwenye reporting yake ya mikutano ya Lowassa tofauti na Mahela.

Mahela hakuwa na mvuto kiutangazaji kiivyo, ingawa sijui what happened to Spencer baada ya election ingawa binafsi nilimwona ni mtu ambaye angefika mbali sana kwenye utangazaji.
 
Spencer alikuwa very very brilliant, na alivutia sana kwenye reporting yake ya mikutano ya Lowassa tofauti na Mahela. Mahela hakuwa na mvuto kiutangazaji kiivyo, ingawa sijui what happened to Spencer baada ya election ingawa binafsi nilimwona ni mtu ambaye angefika mbali sana kwenye utangazaji.
Nakubaliana na wewe. Kazo kubwa ya Mahela ilionekana wakati wa Kuripoti matokeo ya uchaguzi. Jamaa hakulala 72hrs
 
ccm tubadilike hatuwezi kuendelea kutawala milele kwa mfumo tuliozea kwani watu wamebadilika na hawataki kusikia ccm.
 
Magufuli pamoja na kuwa amefariki ila bado umaarufu wake unaendelea hadi sasa,haipiti siku bila kuzungumziwa Magufuli.
hata shetani ni maarufu , usisahau hilo.
 
Topic inaanzishwa kuhusu Mtangazaji wa Mbowe
Nyinyi mnaigeuza kuwa ya Sam mahela na maisha yake binafsi?

Kama topic haina tija...ya nini mnaianzisha?
Hiyo ndiyo JF mkuu yaani akili za humu ukitaka zifuate unachotaka wewe basi uwe na uwezo wa ku_delete replies.
 
Hiyo ndiyo JF mkuu yaani akili za humu ukitaka zifuate unachotaka wewe basi uwe na uwezo wa ku_delete replies.
Hajua Abcd za uandishi. Uandishi makini ni comprensive na kuibua fikra au taarifa mpya.
 
Back
Top Bottom