StupidVipi yule aliyemrekodi Mbowe na mke wake wandoa wakikiss,hakukuumiza?
Maana nasikia ile picha iliwanyima usingizi michepuko ya Mr gaidi
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
StupidVipi yule aliyemrekodi Mbowe na mke wake wandoa wakikiss,hakukuumiza?
Maana nasikia ile picha iliwanyima usingizi michepuko ya Mr gaidi
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hata zile zilizopigwa hazikumwacha mtu salama.kwa sasa sifaham waliko but kuna bwana aliwahi niambia waliwahi onekana TBC but mm maisha yangu si angaliagi hiyo Chanel . so sina hakika .
But to be honest kwa ule mziki wa kampeni za 2015 , kama ile amsha amsha ingepigwa 2020 na uhakika Jiwe lingefia jukwaani.
Tukiwajibu vibaya tuanze na ban this blue MondayVipi yule aliyemrekodi Mbowe na mke wake wandoa wakikiss,hakukuumiza?
Maana nasikia ile picha iliwanyima usingizi michepuko ya Mr gaidi
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
achana nao MamdenyiTukiwajibu vibaya tuanze na ban this blue Monday
Spencer alikuwa very very brilliant, na alivutia sana kwenye reporting yake ya mikutano ya Lowassa tofauti na Mahela.Ni kweli alikuwa Spenser Lameki lakini aliyevuma zaidi ni Sam Mahela
Nakubaliana na wewe. Kazo kubwa ya Mahela ilionekana wakati wa Kuripoti matokeo ya uchaguzi. Jamaa hakulala 72hrsSpencer alikuwa very very brilliant, na alivutia sana kwenye reporting yake ya mikutano ya Lowassa tofauti na Mahela. Mahela hakuwa na mvuto kiutangazaji kiivyo, ingawa sijui what happened to Spencer baada ya election ingawa binafsi nilimwona ni mtu ambaye angefika mbali sana kwenye utangazaji.
hata shetani ni maarufu , usisahau hilo.Magufuli pamoja na kuwa amefariki ila bado umaarufu wake unaendelea hadi sasa,haipiti siku bila kuzungumziwa Magufuli.
Hiyo ndiyo JF mkuu yaani akili za humu ukitaka zifuate unachotaka wewe basi uwe na uwezo wa ku_delete replies.Topic inaanzishwa kuhusu Mtangazaji wa Mbowe
Nyinyi mnaigeuza kuwa ya Sam mahela na maisha yake binafsi?
Kama topic haina tija...ya nini mnaianzisha?
Na juzi kwenye conference imedhihirika.ccm tubadilike hatuwezi kuendelea kutawala milele kwa mfumo tuliozea kwani watu wamebadilika na hawataki kusikia ccm.
Hajua Abcd za uandishi. Uandishi makini ni comprensive na kuibua fikra au taarifa mpya.Hiyo ndiyo JF mkuu yaani akili za humu ukitaka zifuate unachotaka wewe basi uwe na uwezo wa ku_delete replies.
Sio mbaya kumbe.Ni mkurugenzi wa maudhui pale Wasafi Media.
Sasa unashangaa au?hata shetani ni maarufu , usisahau hilo.