Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Mara nyingi nikikaa ninavyosimama lazima idinde, hii huwa nahisi Ni msukumo wa damu kwa kusimama ghafla.
 
Picha yenyewe ni hii hapa. Yeye aseme kuwa kimewaka home lakini siyo kadhalilishwa!

View attachment 211731

Kiwake wapi bana sema mke wake nae anatafuta atoke vipi manake wengi hatumjui hiyo kazi anayofanya mumewe anaweza piga picha na mtu awaye yote manake yupo kazini kama vipi amfumngie mgongoni mumewe atembee nae tujue anajuwa kupenda wizi mtupu.
 
I see, mbona unatumia nguvu sana kutetea hii picha? Tupe ushahidi wa kwamba imetengenezwa na ulete hapa picha halisi ili tufananishe, using'ang'anie tu imetengenezwa!
tena wewe utakuwa muhusika ni kwa sababu wewe hujulikani ndo maana unaandika upumbavu humu
 
Kiwake wapi bana sema mke wake nae anatafuta atoke vipi manake wengi hatumjui hiyo kazi anayofanya mumewe anaweza piga picha na mtu awaye yote manake yupo kazini kama vipi amfumngie mgongoni mumewe atembee nae tujue anajuwa kupenda wizi mtupu.

Tatizo sio kupiga picha mkuu...tatizo pale kati pale
 
lakini lazima ukubali ukweli hii picha imetengenezwa mkuu

Kill;
Kama imetengenezwa basi hayo ni yake na mbaya wake ila zipo nyingi anaonekana kujibalagaza na hayo makitu. Ukizoea mwisho wake ndo huo. Kubandikwa magazetini, si waona ni sifa???
Huenda wanamtaka mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…