Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Naogopa kumtaja aiseee, sifai kabisa hapa nilipo, ngoja nitoke kwanza
Hahahaaaa.....nitajie bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naogopa kumtaja aiseee, sifai kabisa hapa nilipo, ngoja nitoke kwanza
Nikimalizia simu yangu itazima
watu wanaamua tu kumchafulia mtuKwa nini wafanye hivyo jamani?
My wii umeona huo mguu hapo.....
Picha yenyewe ni hii hapa. Yeye aseme kuwa kimewaka home lakini siyo kadhalilishwa!
View attachment 211731
Hahahahaaa mi sijaona wii
tena wewe utakuwa muhusika ni kwa sababu wewe hujulikani ndo maana unaandika upumbavu humuI see, mbona unatumia nguvu sana kutetea hii picha? Tupe ushahidi wa kwamba imetengenezwa na ulete hapa picha halisi ili tufananishe, using'ang'anie tu imetengenezwa!
Tatizo ni nini kwani!!! Kama kuna tatizo apelekwe St John Hopkins hospital
White it is !Halafu nakutafuta sana wewe.
Unajua tena kitu ndo kinawadia and want it in white.
Siku hizi kupiga picha na Miss World ni kudhalilika?
Kiwake wapi bana sema mke wake nae anatafuta atoke vipi manake wengi hatumjui hiyo kazi anayofanya mumewe anaweza piga picha na mtu awaye yote manake yupo kazini kama vipi amfumngie mgongoni mumewe atembee nae tujue anajuwa kupenda wizi mtupu.
uwislamu unakataza kumkumbatia mwanamke???
lakini lazima ukubali ukweli hii picha imetengenezwa mkuuKill;
Tena sana na haswa ukimkumbatia halafu ukadindisha kama alivyo fanya kwenye hiyo picha
hujaona kasoro kwenye hiyo picha mkuuafadhali umeuliza mana natafuta huo udhalilishaji siuoni
lakini lazima ukubali ukweli hii picha imetengenezwa mkuu
Hahahaaaa.....nitajie bwana