Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..
"Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa sababu ya uchambuzi wa habari ya afya ya Lissu kwa mujibu wanripoti ya Mbowe kwenye kipindi cha CloudsFm 360, Ruge alimpigia simu @DottoBahemu ambae ndio producer wa kipindi cha 360 na kumwambia kuwa keshawakataza kuongelea habari hizo kwenye hiko kipindi, na hapo hapo alitoa maagizo kuwa Hassan Ngoma amesimamishwa kazi na nafasi yake itachukuliwa na Siza wa kipindi cha Powerbreakfast."
Chanzo:Aliyechambua afya ya Lisu asimamishwa kazi Clouds