Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..

"Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa sababu ya uchambuzi wa habari ya afya ya Lissu kwa mujibu wanripoti ya Mbowe kwenye kipindi cha CloudsFm 360, Ruge alimpigia simu @DottoBahemu ambae ndio producer wa kipindi cha 360 na kumwambia kuwa keshawakataza kuongelea habari hizo kwenye hiko kipindi, na hapo hapo alitoa maagizo kuwa Hassan Ngoma amesimamishwa kazi na nafasi yake itachukuliwa na Siza wa kipindi cha Powerbreakfast."

Chanzo:Aliyechambua afya ya Lisu asimamishwa kazi Clouds

Ni utaratibu wa kawaida kwa vyombo vya habari kupewa hizo suspension! Lissu huyu huyu aliwahi kutaka niletea issue flan flan mahali way back..Atapigwa bench na atarudi baada ya wiki 3 (Hope so) ni kawaida kwa media houses! mapovu
 
Yeye ndiye mwenye mamraka alipatanishwa na mkulu tanga yupo upande huo
 
Poa tu mwajiri ameshakuambia usitangaze habari za huyo jamaa unatangaza sasa mlitegemea ni nini kitafuata,kumbukeni hicho ni chombo cha habari cha mtu binafsi hakuna mtu hapa aliyechangia kuanzishwa kwake na lazima ukubaliane na masharti yake sawasawa
 
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..

"Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa sababu ya uchambuzi wa habari ya afya ya Lissu kwa mujibu wanripoti ya Mbowe kwenye kipindi cha CloudsFm 360, Ruge alimpigia simu @DottoBahemu ambae ndio producer wa kipindi cha 360 na kumwambia kuwa keshawakataza kuongelea habari hizo kwenye hiko kipindi, na hapo hapo alitoa maagizo kuwa Hassan Ngoma amesimamishwa kazi na nafasi yake itachukuliwa na Siza wa kipindi cha Powerbreakfast."

Chanzo:Aliyechambua afya ya Lisu asimamishwa kazi Clouds

There must be 'under currency' although on the surface we see 'still water'!
 
Back
Top Bottom