GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
sababu ya kibaiolojia au sio
Mkuu nikishasema tu hiyo sentensi ' naomba niishie hapa tafadhali ' jua ya kwamba nayahifadhi mengi ambayo Kimaadili nisingependa kuyaweka wazi. Japo naamini kuwa nimekujibu ' Kidiplomasia ' ila nina uhakika kabisa na nakujua jinsi ulivyo mjanja mjanja na una IQ nzuri kuwa utakuwa umeshanielewa vizuri sana tu ' Kamarada ' wangu wa ukweli Joseverest. Tupo pamoja Mkuu!