Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

sababu ya kibaiolojia au sio

Mkuu nikishasema tu hiyo sentensi ' naomba niishie hapa tafadhali ' jua ya kwamba nayahifadhi mengi ambayo Kimaadili nisingependa kuyaweka wazi. Japo naamini kuwa nimekujibu ' Kidiplomasia ' ila nina uhakika kabisa na nakujua jinsi ulivyo mjanja mjanja na una IQ nzuri kuwa utakuwa umeshanielewa vizuri sana tu ' Kamarada ' wangu wa ukweli Joseverest. Tupo pamoja Mkuu!
 
Hapo sawa nimekupata vyema mkuu aisee
 
Acha uzwazwa kapigwa stop tokea majuzi yamebumburuka sababu yakupigwa stop ni kudiscuss issue ya lisu while wamekatazwa watu wamemblast ruge na clouds ndo uyo Sam akajilete na iyo news kufunika what happened
Kama ulijua toka juzi mbona hukuleta habari humu,mbona mnapenda kushikiwa akiri sana na yule mkimbizi,kama mimi zwazwa wewe zizi
 
Wewe nahisi utakuwa na vinasaba vya kike ...kushutumu na kuhisihisi wenzao mambo ambayo sio mazuri
Umejuaje kama Mange ni Malaya...haya kama umejua kuna haja gani ya kutangaza sifa mbaya ya mtu...hana sifa nzuri??
Tuambie basi na wewe tabia zako mbaya
Kwani uwongo jamani? Yeye mwenyewe kajitanabaisha hivo, malaya. Hukumbuki alivopost kule insta kuwa anawamendea wanaume wa. Kishua wenye hela?
 
yule mliyekuwa mnamtetea na kumsaidia wakati wa issue ya paul mtyume wa dar es salam dhidi uvamizi wa mawingu radio stereo,Sasa kawageuka na amekuwa mwiba kwenu..

TUJIFUNZE KUTOMWAMINI MTU KATIKA MAISHA YAKO!!

Niwakumbushe tu!
-Ninani angeweza kuamini kama Dr
slaa na lipumba wangesaliti UPINZANI? leo je,?

Hata huyo RUGHEIMANA Kawageuka sasa...tusikae kulaumu BALI LIWE FUNDISHO!!
 
Back
Top Bottom