PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimecheka ulivyosikitika sijui chochote kuhusu yeye
 
Leo umeandika kama binadamu
 
Watatekwa Hawa .....hii nchi sio poa kabisaaaa
 
Tatizo ni woga tu ila ukweli hapo Clouds ndio wameumizwa zaidi kwa mwandishi wao kuuawa na wao kukaa kimya kinafiki
Mungu ni mwema,hata hvyo walikuwa wanatangaza sana mambo ya ccm,ns kumpigia promo chogoless mpaka kwenye vipindi vya michezo hasa Dauda

Sahv nimesikia Mchovu anasema yeye ni mkrislam
 
Pole sana mkuu,ila soon TANGANYIKA inaenda kurudi mikononi mwa wananchi!
SAVE THE DATE 9D......

Mkuuhilo neno 'hiko' maana yake nini?
Nashindwa nijibu ni nini kaka ukizingatia tunaathiriwa na lugha mama hivyo sijajua ila nilijaribu kumaanisha "kile kipindi" ikiwa kuna neno sahihi kulingana na wanazuoni wa kiswahili naomba kujuzwa kaka ,nilijue leo hilo neno .
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…