Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

Millard Siyo Mjinga aende kwenye aachane na Media Kimataifa kama CMG Aende kwenye Local Media ambayo inasikika mkoa mmoja
Kwani hapo CMG amefata kusikika au maslahi? Kama ni maslahi inamaana Wasafi wakizidi dau atajoin tu usafini.
Uzee bhana
 
Kwani hapo CMG amefata kusikika au maslahi? Kama ni maslahi inamaana Wasafi wakizidi dau atajoin tu usafini.
Uzee bhana
CMG ilikua ndoto yake ya siku Nyingi na aliitimiza na Ikamfungulia Dunia na kumwezesha kupata Fursa kibao..

Kua CMG kuna faida kubwa kuliko hata hako kadau
 
Maulid kitenge, Na cabinet yote ya sports. Huku kuna Jonijoo na wenzake
Hao ni watangazaji wa Level za Kati hawana ushawishi Wowote na hawajafika hata nusu ya Level za Millard

kama huyo Jonijoo hata alikua hajulikana na bado ni level za Chini..
 
CMG ilikua ndoto yake ya siku Nyingi na aliitimiza na Ikamfungulia Dunia na kumwezesha kupata Fursa kibao..

Kua CMG kuna faida kubwa kuliko hata hako kadau
Mkuu,watangazaji ni Kama wachezaji wa mpira tu,hawana uwepo wa kudumu sehemu moja...licha ya kuwa na ndoto za kupitia huko MAWINGU Bado ana dream zake yeye Kama mtafutaji kwahiyo nasisitiza kwamba akipata mkataba mnono zaidi ataweza kutimkia hata pride fm ya tandahimba
 
Mkuu dau lililopo Wasafi ni Kuwasaini akina Juma Lokole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…