joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hivi hii ngoma unatakiwa kuwa na certificate au kuanzia diploma
dogo skia nikuambie,kwa taarifa yako Millard anaonekana karibia kila siku wasafi head quarters kuna program anafanya kwa hiyo hili la yeye kwenda huko haliwez kuwa jambo la ajabu sana kikubwa ni maslahi....usikariri maisha utafeli.
Ilikuwaje Charles Hilary kuondoka BBC idhaa ya Kiswahili na akakubali kujiunga na Azam Media? Hata Baruan Muhuza?
hawa ndiyo wamejipanga kumpokea Hance Mtanashati ?
Halafu hajui mwanae ka daftari lake lilisahihishwa, kiusahihi.Yaani mtu unajua mpaka mondi Nguo alizovaa kanunua wapi..!
Huu ushabiki too much
Noted.Millard ayo keshasaini pre contact wasafi media, anasubri amalize mkataba wake na clouds tu then atimukie chama la wana usafini
sina haja ya kubishana na wewe chalii,nimekupa taarifa ni juu yako kukubali au kukataa...hizi mambo hazitakagi ujuaji.Wadanganye Watoto wa huko Usafini, Kwa mnavyopenda Misifa Mngekua Mmesha share Mipicha kwa viherehere Mlivinavyo
Kijana ni vizuri ukawa na heshima na watu ambao huwajui.Sijawahi kuvunjia heshima ila Kama unataka nikuvunjia nitaanza soon nakuonya next time usirudie.innocent dependent hutaki kutujibu umekimbilia wapi?
Sisi tunataka tukupe hongera tu kwa kupata kazi. You deserve it Juma
Samahani,wewe ni Mina Ali?
Ilikuwaje Charles Hilary kuondoka BBC idhaa ya Kiswahili na akakubali kujiunga na Azam Media? Hata Baruan Muhuza?
Mwisho wa yote ni maslahi ndio yanamuamisha mtu kutoka eneo moja kwenda jingine na sio zaidi ya hapo.
Nakubali Wasafi bila diamond ni mfu lakini lazima ujue mtu anaama kituo kimoja kwenda kwingine kwa maslahi ndio maana Ahmed abdala kaama Azam kaenda Wasafi ni hivyo hivyo kwa redio zote.Watangazaji wote wanaangalia maslahi kwanza.Usifananishe Azam na Wasafi...Azam ni taasisi inajitegemea yenyewe haimtegemei mtu kujiendesha ,Wasafi bila diamond haina tofauti na kijiwe cha kahawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umejisahau umejibu kwa ID ingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Relax
Kumbe wasafi haijiwezi mpaka aiazime vijana kutoka Clouds?Millard ayo keshasaini pre contact wasafi media, anasubri amalize mkataba wake na clouds tu then atimukie chama la wana usafini
Kwani maana ya kuajiri hauijui!?
Vipi kipindi cha kesho utamsuta nani?Kijana ni vizuri ukawa na heshima na watu ambao huwajui.Sijawahi kuvunjia heshima ila Kama unataka nikuvunjia nitaanza soon nakuonya next time usirudie.