Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu Pesa ndiyo kila kitu hata kama inaishia kusikika pale Mwenge tu toka KaweMillard Siyo Mjinga aende kwenye aachane na Media Kimataifa kama CMG Aende kwenye Local Media ambayo inasikika mkoa mmoja
Mbona Kama una hasira Sana.
Jibu swali, kesho kwenye kipindi utamsuta nani?Mbona Kama una hasira Sana.
Wakiwekwa wenye roho mbaya sehemu moja hautakiwa kukosaOkota okota FM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kosa langu lipi hapa juma??Kijana ni vizuri ukawa na heshima na watu ambao huwajui.Sijawahi kuvunjia heshima ila Kama unataka nikuvunjia nitaanza soon nakuonya next time usirudie.
Mkuu vipi horizon deep ulikuwepo leo?Kumbe amepatikana kwa kupewa rushwa za hapa na pale
Wakiwekwa wenye roho mbaya sehemu moja hautakiwa kukosa
Ohooo kumbeeeee.Hapa umejisahau umejibu kwa ID ingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
isidingo inaelekea ukingoni mpenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aiseeDida muuza ngada au yupi?
Wafanye usajili ila wakae wakijua,mwakani kila mwandishi wa habari na watangazaji wanatakiwa wawe na certificate ktk field za utangazaji na uandishi wa habari.
Ila Dida cheti anacho kutoka DSJ ,sijajua wengine na Mwakyembe katangaza kuanzia mwakani hamna janja janja kama huna cheti kwenu.