Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
.. walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga.
.. wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu.
.. Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.
Acha kupotosha kipuuzi wakati watanzania wanajua nini kinaendelea.Acha mhemuko nenda taratibu Elewa hoja yake
Hoja ni kuwa, miradi yote mikubwa inafanyika kwa pesa za ndani sasa why kwa Miaka mitano deni limekuwa zaidi ya miaka kumi ya jk?
Hilo den linatokea wapi?
Lkn nitofauti na kile chama kinachowaonea mashekheKupinga maendeleo ya Watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za Watanzania!
tumia akil sio ushabikiKwani kuwa na deni ndio ni kosa? Kwani hilo deni linalipwa na mabeberu? Au linalipwa na Wabelgiji
Sidhani kama umeelewe ulichokiandika, kama miradi inatengenezwa kwa pesa za ndani kwanini deni la Taifa linaongezeka? (Nini kinaliongoze kwa kasi hiyo)Jibu hapo kwanza, na kama deni linalipwa kwanini linazidi kuongezeka?Acha akili za kitoto, unadhani hilo deni linalipwa na nini? Bangi na konyagi mnazokunywa na kuvuta!
Wewe jamaa nimegundua ni kichwa maji kabisa,samahani sana nilijua mnazo ndio mana nikajibusababu ya kutosoma magazeti na kufuatilia vyombo vya habari. Mikopo ikifanyika serikali huwa inatangaza. Na kuweka wazi ni kwa ajili ya mradi gani.
Magufuli ataulizwa maswali mapesa sana, la siivyo kesho yake kituo cha radio kitatangazwa na tcra kufungwa.Aombe kuwakutanisha na Magufuli
Mbuzi anayepanda wenzake!Beberu ni nani?
Na wewe nae unajiona una akili ya kujibu hoja za wanaume?Wewe jamaa nimegundua ni kichwa maji kabisa,samahani sana nilijua mnazo ndio mana nikajibu
Kwani wewe mfano ukienda kukopa bank, ukianza kulipa huo mkopo huwa unalipa kwa pesa za nani? Au huwa unalipiwa na....Acha ujinga,kama deni la Taifa Lina lipwa na watanzania,na miladi inajengwa kwa fedha za ndani, kwanini Deni la Taifa linazidi kukua?
Mpuuzi na mpbavu kama wewe unaelewa nini? Mpaka nikujibu. Jinsi ulivyohoji inaonyesha akili zako ni matope.Sidhani kama umeelewe ulichokiandika, kama miradi inatengenezwa kwa pesa za ndani kwanini deni la Taifa linaongezeka? (Nini kinaliongoze kwa kasi hiyo)Jibu hapo kwanza, na kama deni linalipwa kwanini linazidi kuongezeka?
Ukijibu hayo ndo utajua kati yangu na familia yako yote nani anatumia msokoto πππ
Achani uzwazwa, kushabikiashabikia kila kitu kama mmerogwa badala ya kufikiri kwa kichwa unafikiri kwa makalio yako...
Nijibu hayo maswali kisha tuendelee
Hata za wanawake najibu, mmerogwa ninyiNa wewe nae unajiona una akili ya kujibu hoja za wanaume?