Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

Mpuuzi na mpbavu kama wewe unaelewa nini? Mpaka nikujibu. Jinsi ulivyohoji inaonyesha akili zako ni matope.
Huwezi kujibu hapo 😀😀kichwa maji wewe, mmerogwa nyie badala ya kufikiri kwa kichwa mnafikiri kwa makalio yenu
 
Kupinga maendeleo ya Watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za Watanzania!
mambo si yanafanyika kwa pesa za undani au?
 
Kwani hiyo miradi inayotekelezwa kwa mikopo si inajulikana. Na deni la taifa analolipigia kelele huyu Lissu linalipika tena vizuri tu. Miradi tunayojenga kwa pesa zisizo za mkopo unaiona kama JNHPP. Lissu anadanganya umma kama nani? Data anazitoa online kwa kusearch ni za kuamini?

Wananchi hawana hali mbaya ndio maana wakulima na watu wanaojishughulisha wanaishi vizuri tu. Wewe na mafisadi mlizoea kupata pesa za wizi ambazo ziliongeza mzunguko wa pesa usio halali.

Maendeleo ya vitu na watu ndio upuuzi gani? Kwani Hospital, shule na barabara zinajengwa kwa ajili ya fisi.
Wakulima wa korosho wana hali nzuri, wa pamba majuzi ndio wameahidiwa kulipwa pesa zao, mishahara inapandishwa kila mwaka kwa miaka mitano, mnapata taabu sana kulazimisha nyeusi iitwe nyeupe
 
Huyu huyu kibaraka wa beberu?

Huyo huyo alie wasifia Wanaume wa BARIKI na kuachilia Makinikia yao aliyo yazuia kwa makeke kibao mbele ya Vyombo vya Habari na mwishowe akaomba poo ,matrillioni tulio aminishwa kuyapata yaka yeyuka na kuwa Ndoto za alinacha.

Lissu hakuingia Mikataba ya kinyonyaji (Tanesco) na Mzigo wote akaangushiwa Mwananchi ,Gesi ya Mtwara haina Faida kwa Raia kwa Sababu ya Mikataba ya kinyonyaji...
 
Mahojiano hayo ni ushahidi mwingine kuwa Lisu ni muongo,na mara nyingine hajui analosema au kusimamia.
 
Nawapa polee.subilini 28 tarehe ndio mtamuelewa Magu upepo wake .asilimia 90 mpaka huyo tobo atazimia
Unakutanisha watu wanaoweza kushindana kwa hoja.

JPM hana hoja zaidi ya kuzungumzia matiti ya wanawake, SGR, na Stieglers.

Tundu Lissu ni sawa na kavazi/archive ya siasa na demokrasia hapa Tanzania.
 
Mahojiano hayo ni ushahidi mwingine kuwa Lisu ni muongo,na mara nyingine hajui analosema au kusimamia.
Anajua sana anachokifanya tapeli huyu. Lakini mimi naamini Mungu aliyewakosanisha Kikwete na Lowasa, huyohuyo atalisambaratisha tapeli hili kuliokoa taifa na mipango yake ovu.
 
Ila Doto Bulendu ana akili sana. Maswali yake alikuwa anayabalance asionekane ametumwa na Chadema. Alikuwa akitaka kumuonesha Lissu kuwa kuna vitu vimefanywa na jiwe. Na hapo ndipo alipompa Lissu nafasi mujarabu ya kumkosoa jiwe.
Mnao shabikia miradi mikubwa mumeona Nchi inavyo pigwa?.
 
Come to your senses brother! You've long been conned.

..alichokifanya TL, kuamua kurejea nchini sio jambo la kawaida.

..TL ana mapungufu yake kama walivyo wanadamu wote.

..lakini uamuzi wake wa kurejea nchini ni uthibitisho kwamba ni jasiri, na ana nia ya dhati ya kupigania haki na demokrasia nchini.
 
Ila hiyo bei nilikuwa naipata pale pale kahama. Anyaway nashukuru kwa taarifa hiyo ntafanya cost analysis, nione kama inalipa. Ila mwambie huyo bwana mkubwa asiwe anafunga mipaka ili tupate soko la nje kirahisi, hapo ndo tutasema anatujali siye walulima wanyonge wa nchi hii.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Bila kuwa dalali hutoboi...bora tubaki na Kahama yetu mpaka pale bei itakapoeleweka..piga hesabu Mpunga umeukusanyia Mpanda au Mbeya .. then ukasafirisha mpaka Kahama halafu usafirishe tena Mpaka Dar es salaam ambapo bila kuwa na madalali mzigo wako haupati wateja.
 
Back
Top Bottom