TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Atakua alikua spid sana. Maana kwa hali ya kawaida ya 50kmh hapa mjini gari kuingia mtaroni na kusababisha kifo ni nadra sana. Lazima atakua alikua spid kali sana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema walikuwa mwendo wa kawaida ila kuna gari ilikuwa ina overtake kutokea mbele yao ktk harakati za kuikwepa kuepuka kugongana uso kwa uso wakaingia mtaroni na wote yeye na dereva wake walikuwa wamelewa na ndan ya gari kulipatikana chupa zingine za pombe zilizokuwa zinanywika na mashuhuda waliofika kuwaokoa wanasema marehemu alikaa siti ya nyuma na hakuwa amevaa mkanda. RIP...sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea🙏
 
Basi itakua msituko na vile alikua bonge kidogo probably alikua na matatizo ya moyo.
 
Dahh... Gambe..!!
 
Dah! Huwa nadhani siti ya nyuma ni salama zaidi.
 
Mkuu GENTAMYCINE wala sijakukuruka, nimetumia knowledge ya kawaida tu. Dereva wa gari alilopanda Fredwaa alikuwa kalewa, kama Fredwaa angekuwa normal yeye ndo angeendesha hilo gari, umeona video wakiwa na TID? It seems wakati wa ajali ndo walikuwa wanarudi nyumbani......hatu hukumu lakini lifestyle yake ndo imemfikisha hapo bro
 
Ajali ilitokea muda gani? usiku au mchana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…