theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Farhia middle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na demu wangu bro. Hapa nasubiri Ray akiteleza tu nampa mtoto life ya maana. Nafahamu ana watoto wawili ila wote nitawafanya wa kwangu. Nampenda sana huyu wife wangu mtarajiwa. Nyamwi popote ulipo siku ukijifanya umepa dwa hasira tuuu tusije laumiana. I love that Woman.
Kwa nini usiseme Salim Kikeke anamuiga Yvona? Mbona mna wivu wa kike? Yvona hajaanzq kutangaza jana na pose lake liko kama lilivyo miaka yote. Msimstress binti wa kiha. Napendaga yeye sana aisee.Huyo Ivona Kamutu anamwiga sana Salimu Kikeke.Kwanzia ku-pause, kukatisha maneno n.k. Kwa ujumla anaboa sana maana hana identity yake mwenyewe.
Kete yangu nampa Farha Middle wa ITV.