Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Julieth Roberts,daaah ananimaliza huyu mdada,Habari si Habari tena kama haikusomwa na yeye..,na hata Dinner si dinner tena nisipomwona yeye.,Msaada kwenye Tuta mwenye namba ya yeye..,aniPM tu awe Wifi n a Shemeji yenu
Mbwahaaaaaa mbwahaaaaa haaaaa
 
Ukiangalia chals,kikeke na bbc karibu wote pozi na style yao ya kutangaza zinafana kiasi.

Fatma almasi yuko real sana na julieth robert anakuja vizuri sana. Sophia kessy pia yuko bomba
True..Juliet Robert wa ITV huwa anatulia sna akiwa anatangaza...
 
Back
Top Bottom