Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Mtangazi wa Clous FM hapo siku ya jana alinusurika kuawawa maeneo ya Mwananyamala hapo majuzi nusura auwawe na bastola na jamaa mmoja
Chanzo cha habari kinasema kuwa wakati akiwa kwenye gari lake, Hando maeneo ya Makoma gari lake lilikwaruzana na gari la jamaa mwingine. Baada inshu hii kutokea ndipo jamaa kwenye gari lingine alimfata Gerald Hando ili wasuluhishe mzozo wao...
Wakati jamaa akimwomba Hando ashuke ili waongee kiuwanaume jinsi ya kumalizana ndipo mtangazaji huyo alipoonza kumjibu dharau. Jamaa alipoona hivyoo aliamua kutoa bastola na kupiga kwenye kioo cha pembeni ....
Gerald kuona hivyo aliomba msamaha, ndipo jamaa alimmwagia matusi ya nguoni na kumpiga vibao kisha kuondokaaaa
SOURCE: GAZETI LA RISASI