Mtangazaji Gerald Hando wa Clouds FM anusurika kuuawa maeneo ya Mwanyamala

Kuwa na silaha si matangazo na unapotoa silaha lazima ushuti ni ujinga kuitoa na kuirudisha bila kushuti na unatoa bastola kwa mtu ambaye naye ana bastola huyu ukitoa kwa mtu ambaye hana bastola ni sawa na kumkunjia ngumi na kuanza kupigana na mwanamke ni ushamba kutoa toa ovyo bastola ni ulimbukeni
Sawa mate wake Gerald Hando!!
 
Mtoa uzi, umekosea inapaswa akifa ndo ulete hoja hapa tuseme mabaya yake yeye brauzi fm
 
Mtangazi wa Clous FM hapo siku ya jana alinusurika kuawawa maeneo ya Mwananyamala hapo majuzi nusura auwawe na bastola na jamaa mmoja

Chanzo cha habari kinasema kuwa wakati akiwa kwenye gari lake, Hando maeneo ya Makoma gari lake lilikwaruzana na gari la jamaa mwingine. Baada inshu hii kutokea ndipo jamaa kwenye gari lingine alimfata Gerald Hando ili wasuluhishe mzozo wao...

Wakati jamaa akimwomba Hando ashuke ili waongee kiuwanaume jinsi ya kumalizana ndipo mtangazaji huyo alipoonza kumjibu dharau. Jamaa alipoona hivyoo aliamua kutoa bastola na kupiga kwenye kioo cha pembeni ....

Gerald kuona hivyo aliomba msamaha, ndipo jamaa alimmwagia matusi ya nguoni na kumpiga vibao kisha kuondokaaaa

SOURCE: GAZETI LA RISASI
Duuh
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Fa Mchezo na Mguu wa Kuku? Watoto wa Mama kizimkazi hao walitaka kumuonyesha SHOW.
 
Mkuu mbona kama story yako kidogo ipo tofauti na hii...

g1.PNG

g2.PNG

Source: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM "GERALD HANDO" ANUSURIKA KUPIGWA RISASI ALFAJIRI YA LEO...!! - GUMZO LA JIJI
Aliyeleta uzi usikute ndiye aliyetishia mguu wa kuku ndio maana kaongeza chumvi
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Muongo hakuna GB zozote. Wewe ndio unapewa pesa.. vijana wacheni utapeli
 
Back
Top Bottom