Mtangazaji Gerald Hando wa Clouds FM anusurika kuuawa maeneo ya Mwanyamala

Mtangazaji Gerald Hando wa Clouds FM anusurika kuuawa maeneo ya Mwanyamala

Bora Angemuua tu. na domo lake analobwabwaja nalo radio ya wafu.
 
Bila shaka we mgeni nchi hii. naona unaleta mambo yako ya darasani kwa maisha ya kawaida. Just for ur information Nchi hii watu kibao tu wako juu ya sheria.
1. Chenge aliuwa na hakufungwa
2. Wezi wa EPA waliombwa kurudisha fedha walizoiba-hawakushitakiwa
3. Aliyemtesa ulimboka pamoja na kufahamika hajakamatwa
Bwana mdogo hii nchi ni zaidi ya uijuavyo.

Some people are so disconnected you wonder where do they live...
 
Alikuwa anamsihi jamaa amfumue kachoka kuishi huyu
 
angempiga na kitako tu cha bunduki kidunchu...mshamba huyo
 
Kumbe hakuna wanaopenda clouds na vikaragosi vyake eeeeee.....labda watakuja.....kuna haja ya hawa clouds wajiangalie utendaji wao kwani inaonesha watz wengi Iikiwemo mm wakimuona mfanyakaz wa clouds analiwa na simba wanaweza kumwagia kachumbaki ili kumwongezea appetite
 
Pole yake...ndo akamtangaze vizur kama hajamtafuta.
Atabadilishwa jina sasa hivi Gerald to Gerida.
 
duh ana bahati bora angekutana na ditopile (rip) ndo sijui angeagwa wapi? labda pale darajani.
 
Ndio mnamuita Yahaya alieimbwa na Jide??
 
Kwa mwenendo wa post ninazoziona humu jf ni wazi kua clouds media kuna mahala wameteleza.
Kama binadam nawashauri watumie japo wiki moja kuomba radhi kwa wasikilizaji wao, kwa maana kua kila siku ktk siku 7 za wiki kila mtangazaji atumie kipindi chake kujisafisha ili japo kupunguza uhasama uliojijenga mpaka sasa.
Kama hali itaendelea hivi sijui watumishi wa hiyo media wataishi vipi huku mitaani? Au kama hawataki basi wahamishie makazi yao kwenye kambi za polisi ili waendelee kuwa salama kwa mtutu wa bunduki.
 
Kuwa na silaha si matangazo na unapotoa silaha lazima ushuti ni ujinga kuitoa na kuirudisha bila kushuti na unatoa bastola kwa mtu ambaye naye ana bastola huyu ukitoa kwa mtu ambaye hana bastola ni sawa na kumkunjia ngumi na kuanza kupigana na mwanamke ni ushamba kutoa toa ovyo bastola ni ulimbukeni
 
badala ya kumsema huyo ----- anaetoa bastola kwa sababu ya minor traffic accident,mnakazana kuomba angemuua g.hando,chuki zenu zitawapa ugonjwa wa moyo,mimi simjui huyu hando namsikia tu redioni kama wengi wenu humu lakini siwezi kuomba eti apigwe risasi kisa kipindi chake kinaniboa.....kwanini mnasikiliza???
 
Back
Top Bottom