Sawa mate wake Gerald Hando!!Kuwa na silaha si matangazo na unapotoa silaha lazima ushuti ni ujinga kuitoa na kuirudisha bila kushuti na unatoa bastola kwa mtu ambaye naye ana bastola huyu ukitoa kwa mtu ambaye hana bastola ni sawa na kumkunjia ngumi na kuanza kupigana na mwanamke ni ushamba kutoa toa ovyo bastola ni ulimbukeni
DuuhMtangazi wa Clous FM hapo siku ya jana alinusurika kuawawa maeneo ya Mwananyamala hapo majuzi nusura auwawe na bastola na jamaa mmoja
Chanzo cha habari kinasema kuwa wakati akiwa kwenye gari lake, Hando maeneo ya Makoma gari lake lilikwaruzana na gari la jamaa mwingine. Baada inshu hii kutokea ndipo jamaa kwenye gari lingine alimfata Gerald Hando ili wasuluhishe mzozo wao...
Wakati jamaa akimwomba Hando ashuke ili waongee kiuwanaume jinsi ya kumalizana ndipo mtangazaji huyo alipoonza kumjibu dharau. Jamaa alipoona hivyoo aliamua kutoa bastola na kupiga kwenye kioo cha pembeni ....
Gerald kuona hivyo aliomba msamaha, ndipo jamaa alimmwagia matusi ya nguoni na kumpiga vibao kisha kuondokaaaa
SOURCE: GAZETI LA RISASI
Mtangazi wa Clous FM hapo siku ya jana alinusurika kuawawa maeneo ya Mwananyamala hapo majuzi nusura auwawe na bastola na jamaa mmoja
Chanzo cha habari kinasema kuwa wakati akiwa kwenye gari lake, Hando maeneo ya Makoma gari lake lilikwaruzana na gari la jamaa mwingine. Baada inshu hii kutokea ndipo jamaa kwenye gari lingine alimfata Gerald Hando ili wasuluhishe mzozo wao...
Wakati jamaa akimwomba Hando ashuke ili waongee kiuwanaume jinsi ya kumalizana ndipo mtangazaji huyo alipoonza kumjibu dharau. Jamaa alipoona hivyoo aliamua kutoa bastola na kupiga kwenye kioo cha pembeni ....
Gerald kuona hivyo aliomba msamaha, ndipo jamaa alimmwagia matusi ya nguoni na kumpiga vibao kisha kuondokaaaa
SOURCE: GAZETI LA RISASI
Angemla hata kidogo tuu:nod: mi nilijua kaliwa 0714
Aliyeleta uzi usikute ndiye aliyetishia mguu wa kuku ndio maana kaongeza chumviMkuu mbona kama story yako kidogo ipo tofauti na hii...
Source: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM "GERALD HANDO" ANUSURIKA KUPIGWA RISASI ALFAJIRI YA LEO...!! - GUMZO LA JIJI
Mkuu thread ya 2013 hii. Ina miaka 10.Fa Mchezo na Mguu wa Kuku? Watoto wa Mama kizimkazi hao walitaka kumuonyesha SHOW.
Bubu msemaovyo aiseeeeNi huyu jamaa anayeshabikia ushoga!!?? au alidhani jamaa anamtongoza??
= fadhilawamezoea kupeta kwa fadhira za akina fulani, basi hata mambo ya msingi ya nchi hii hawana muda nayo kazi kuongea nonsense 2!
Muongo hakuna GB zozote. Wewe ndio unapewa pesa.. vijana wacheni utapeliKwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.
1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)
2. Ingia Invite & Earn
3. Bonyeza Redeem
4. Weka hii code 2ZJVO8ZK
Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Natamani siku moja tuonane wewe mamaMnafukuwa makaburi?
Mtandaoni wanafukuaje kaburi wewe mke wa kipozeo?Mnafukuwa makaburi?
Sikushangai, nafahamu kuwa Kiswahili siyo lugha mama kwako. Hauna vina.Mtandaoni wanafukuaje kaburi wewe mke wa kipozeo?