Mtangazaji Ivona Kamuntu

Mtangazaji Ivona Kamuntu

Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.

Naamini ujumbe wangu umefika.
Na kiatu mkuu nacho anarudia rudia
 
Yuko kama mmiliki wa Facebook ana pea nyingi za hiyo nguo!
 
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.

Naamini ujumbe wangu umefika.
Nikawaida yao wasukuma kurudiarudia nguo wala usishangae
 
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.

Naamini ujumbe wangu umefika.
Mtu yupo kwenye TV unamfuatilia hivyo, je jirani?
 
Back
Top Bottom