Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mama ake hapo ulipo umepakatwa nin?mbona hata sikuelewi povu linakutoka tuuWewe kama nani hadi tukujadili? Peleka uwahed wako huko.
Halafu kwani mm niliomba mnijadili?,itakuwa hizo nanilii zimeathiri utumbo mkubwa mpaka akili...Wewe kama nani hadi tukujadili? Peleka uwahed wako huko.
Umenichekesha mnoooooo!!!Anayo mengi sema ni aina moja..
Ila tuache utani Ivona kama m cute alivyohamia azam TV Dar ni Dar jamani.
Wakati yupo starTv mie nilikuwa naona kama ana umri wa kustafu.
Na kiatu mkuu nacho anarudia rudiaMtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Nikawaida yao wasukuma kurudiarudia nguo wala usishangaeMtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
VyoteSion tatzo hapo. Kwan unaangalia news au Mavazi?
Mtu yupo kwenye TV unamfuatilia hivyo, je jirani?Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Ndiyo sare yakeMi mwenyewe najiulizaga hivi hana nguo nyingine
aiseekaficha kitovu na mtuno wa v-shape maana matege dizaini hiyo lazima mbele patune